Mgambo kuwaonea Machinga haikubaliki-Simbachawene
Serikali imesema itabidi kuzipitia upya sheria za utozaji ushuru ili kudhibiti wimbi la wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga ikiwa ni pamoja na kudhibiti wanamgambo wanaowanyanya kwa kuzitaifa mali zao.