Makundi kibao yajitokeza usaili wa pili Dance100%

Kundi la The Quest Crew, ambalo limefanikiwa kutinga tano bora ya usaili wa Dance100 Don Bosco Upanga Dar es salaam.

Shindano la Dance100 linaloendeshwa na kituo cha EATV limeingia katika usaili wa pili leo katika viwanja vya Don Bosco Upanga Jijini Dar es salaam ambapo makundi 21 yamejitokeza tofauti na usaili wa awali ambapo yalijitokeza makundi 10.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS