Mwenge wa uhuru kuzindua miradi mbalimbali Songwe
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala amekabidhi mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Msataafu Chiku Galawa baada ya kumaliza shughuli za kutembelea na kumulika miradi mbalimbali ya maendeleo jijini Mbeya.