Tundu Lissu kupandishwa kizimbani tena leo
Mbunge wa Singida Mashariki ambae pia ni Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Tundu Lissu alyenyimwa dhamana baada ya jana kuhojiwa na polisi kwa saa tatu na leo anatarajiwa kufikishwa mahakamani.