Waghana wamuhofia Donald Ngoma Donald Ngoma Klabu ya Medeama ya Ghana imeeleza wazi kuwa kati ya safu ambayo wanahitaji kujipanga zaidi ni safu yao ya ulinzi kwa ajili ya kuwadhibiti mastraika wa Yanga Mzimbabwe, Donald Ngoma na Mzambia, Obrey Chirwa. Read more about Waghana wamuhofia Donald Ngoma