Eti Ruby ana msongo wa mawazo ! RUBY Video mpya ya Yamoto Band imeachiwa mitaani mapema wiki hii bila ya mwanadada Ruby kuonekana japo ilitafutwa kiki kuwa Rubby anatoka kimapenzi na Dogo Aslay. Read more about Eti Ruby ana msongo wa mawazo !