"Nimechumbiwa ila ndoa bado sana", Tammy. Msanii wa kike kutoka bongo ambaye pia ni rapper, Tammy the Badest, amesema hakutarajia kama mchumba wake ambaye tayari ameshamchumbia rasmi, angefkia hatua hiyo, kwani wengi waliamini ni mchezeaji. Read more about "Nimechumbiwa ila ndoa bado sana", Tammy.