Serikali yatakiwa kuweka idara ya kazi migodini
Shirika la Plan International limetoa rai kwa serikali kuanzisha idara ya kazi katika maeneo ya migodi ili ishirikiane na wachimbaji wa madini kuhakikisha tatizo la ajira kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 18 linakoma.

