Kesi ya kupinga umeya Kinondoni yapangiwa hakimu
Kesi ya kupinga uchaguzi wa Umeya na Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam iliyofunguliwa na Chadema katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepangwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicius Mwijage kwa namba 304 ya 2016.

