DC Arumeru aagiza walevi kuchapwa viboko
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti, amewaagiza watendaji wa serikali katika ngazi za vijiji, kata na tarafa kurejesha adhabu za viboko katika maeneo yao kwa watu wanaokunywa pombe muda wa kufanya kazi.
