Monduli yapunguza ajali za Pikipiki
Wilaya ya Monduli imefanikiwa kupunguza ajali za barabarani za pikipiki kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha kuanzia Januari hadi mwezi wa nane kupitia kampeni maalum ya mafunzo ya sheria ya usalama barabarani kwa waendesha pikipiki.