Nimegundua napenda wanaume wapole - Jokate

Msanii na mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kusema kuwa amegundua katika maisha ya mahusiano ya mapenzi huwa anavutiwa na kuwapenda sana wanaume ambao ni wapole na wale wasiokuwa na mbwembwe na majivuno.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS