Aliyetwaa Kombe la Dunia na Brazil 1970 Afariki

Carlos Alberto, Nahodha wa zamani wa Brazil, akiwa amenyanyua kombe la Dunia 1970

Aliyekuwa mchezaji mashuhuri wa timu ya Brazil Carlos Alberto ,ambaye alikuwa nahodha wa kikosi kilichoshinda Kombe la Dunia mwaka 1970 amefariki akiwa na umri wa miaka 72.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS