Gor Mahia yapania mechi 5 kutwaa ubingwa wa Kenya Kocha Gor Mahia ya Kenya, Jose Fereira Kocha wa klabu ya Gor Mahia ya Kenya, Jose Fereira amesema anataka kushinda mechi tano za ligi, ili kujiweka katika nafasi ya kutetea tena taji lao. Read more about Gor Mahia yapania mechi 5 kutwaa ubingwa wa Kenya