Bora Shilole kuliko Petit Man - Nuh Mziwanda Nuh Mziwanda Msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda kwa sasa ameingia katika mgogoro na aliyekuwa meneja wake, Petii Man kutokana na madai kuwa Petii Man amekuwa akitumia jina lake vibaya kupiga hela. Read more about Bora Shilole kuliko Petit Man - Nuh Mziwanda