Simba na Yanga zatakiwa kutoa burudani Jumamosi
Kampuni ya simu za mikononi nchini Vodacom Tanzania imezitaka klabu za Simba na Yanga kuwaburudisha watanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara unaotarajiwa kupigwa Jumamosi hii katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.