Dance100% imeibua vipaji vya hali ya juu – Ruby Ruby Msanii wa Bongo Fleva nchini Ruby amesema shindano la Dance100% linaloendeshwa na EATV limeweza kuibua vipaji vya vijana mbalimbali ambao wanauwezo wa kupata kazi katika maendeo mbalimbali nchini. Read more about Dance100% imeibua vipaji vya hali ya juu – Ruby