JPM aomba wawekezaji viwanda vya dawa kutoka Cuba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Oktoba, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Antonio Valdes Mesa. Read more about JPM aomba wawekezaji viwanda vya dawa kutoka Cuba