Ningekuwa Diwani, Manzese ingekuwa bora - Madee Madee Msanii Madee leo amefunguka mipango yake iwapo angepata fursa ya kuwa kiongozi kwenye jamii anayotokea ya Manzese, na kusema kuwa ndoto yake kubwa ilikuwa kuwaletea mandeleo watu wa Manzese. Read more about Ningekuwa Diwani, Manzese ingekuwa bora - Madee