Majaliwa akagua maeneo ya ujenzi wa makao makuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa viongozi wakuu wa ofisi yake ofisini kwake mjini Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea maeneo yaliyopendekezwa kujengwa mji wa Serikali na kujiridhisha kuwa yanatosha kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu. Read more about Majaliwa akagua maeneo ya ujenzi wa makao makuu