Rais Kabila awasili nchini kwa ziara ya siku 3

Rais wa DRC, Joseph Kabila akiwasili katika uwanja wa ndege wa JNIA

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Joseph Kabila Kabange, amewasili hapa nchini leo kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS