Wafanyabiashara ya mafuta wakumbushwa sheria
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (Ewura) imetoa mafunzo kwa wafanyabiashara wa mafuta na vilainishi mkoani Morogoro ambapo imewataka wafanya biashara hao kufuata sharia, kanuni na taratibu zilizowekwa kwa bidhaa hizo.