Majambazi 2 wajeruhiwa katika mapambano na polisi
Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamejeruhiwa kwa risasi katika majibizano ya ana kwa ana na polisi maeneo ya Viwandani Vingunguti Dar es Salaam, leo asubuhi wakiwa kwenye jaribio la kufanya ujambazi katika eneo hilo.