Yanga kutumia Uwanja wa Uhuru mechi za nyumbani
Michuano ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara inatarajia kuendelea Jumatano ya wiki hii kwa michezo saba kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini huku Yanga SC wakitumia Uwanja wa Uhuru katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar.