Serikali kurekebisha sera kuondoa makazi holela
Serikali inafanya mapitio ya sera mbalimbali zinazohusiana na masuala ya nyumba nchini, yenye lengo la kuweka mfumo wezeshi ambao utarahisisha uendelezaji wa sekta ya nyumba na kuisaidia kuweza kuendelea kufanya vizuri.