TP Mazembe yatwaa Kombe la Shirikisho Afrika TP Mazembe ya DR Congo imetwaa kwa mara ya kwanza, Kombe la Shirikisho Barani Afrika, baada ya kuifunga MO Bejaia 4-1, nyumbani. Read more about TP Mazembe yatwaa Kombe la Shirikisho Afrika