Taifa limepoteza mzalendo wa kweli - Rais Magufuli
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai kufuatika kifo cha Spika Mstaafu na Mbunge mstaafu wa jimbo la Urambo Mkoani Tabora Mhe. Samweli Sitta.