Vijana watakiwa kushiriki katika ukuaji wa uchumi Vijana wakijishughulisha na masuala ya ufundi. Vijana wametakiwa kutumia nguvu na taaluma walizonazo kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kuliletea taifa maendeleo na kuachana na utegemezi wa kusubiri ajira kutoka serikalini pekee. Read more about Vijana watakiwa kushiriki katika ukuaji wa uchumi