Sheria kuwabana wanufaika wa mikopo yaja
Wakati Bunge likiendelea tena hii leo muswada wa sheria ya mabadiliko ya sheria mbalimbali namba tatu ya mwaka 2016 unatarajiwa kuwasilishwa bungeni ukigusa sheria tisa ikiwemo mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.