Trump awashambulia Wasomali waishio Marekani

Donald Trump

Mgombea wa urais kupitia chama cha Republican Donald Trump ameishambulia jamii ya Wasomali wanaoishi katika jimbo la Minnesota nchini Marekani akiwalaumu kwa kueneza maoni yenye itikadi kali nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS