Messi afikisha mabao 500 Barcelona Barcelona imesherehekea kilele kingine cha mafanikio cha Lionel Messi baada mshambuliaji huyo wa Argentina kufunga goli la 500, kwa klabu yake, usiku wa jana. Read more about Messi afikisha mabao 500 Barcelona