Simba yaisahau Lyon, yaifuata Prisons Mbeya
Klabu ya Simba imesema, kufungwa na African Lyon katika mchezo uliochezwa hapo jana Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam hakuweza kuwakwamisha katika mbio zao za kuwania Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara.