Serikali yakiri udhaifu katika huduma za afya
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amekiri kuwepo kwa uhaba wa wahudumu wa afya nchini ambapo ametaja mikoa ya Kagera, Katavi, Shinyanga, Ruvuma na Rukwa kuwa inaongoza kwa kuwa na uhaba mkubwa.

