Mauzo DSE yaongezeka kwa asilimia 56
Idadi ya mauzo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 56 kutoka shilingi bilioni 5.3 had shilingi bilioni 8.3 kwa mujibu wa taarifa ya mwenendo wa biashara katika soko hilo kwa kipindi cha wiki moja iliyopita.