Diana alia kutelekezwa na Kamati ya Miss Tanzania
Miss Tanzania 2016 Diana Edward ambaye ndiye mrembo anayetarajiwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia 'Miss World', ameilalamikia kamati ya mashindano hayo kwa kumtelekeza.