Sheria mpya ya habari ni hatari zaidi - Wahariri

Theophil Makunga - Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania

Baadhi ya Wahariri waandamizi wa habari wa ndani na kimataifa wamesema, sheria mpya ya Huduma za Vyombo vya Habari ni hatari zaidi kwa kuwa inaminya zaidi vyombo vya habari nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS