Simba ya sasa haishauriki - Kaduguda

Mhina Kaduguda - Mdau wa Soka

Mdau wa Soka nchini na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Klabu ya Simba Mhina Kaduguda, ameibuka na kuuponda uongozi wa sasa klabu hiyo na kusema kuwa hautaki kushauriwa pale ambapo unakosea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS