Wawili wauawa mgogoro wa wakulima na wafugaji Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo Wakazi wa Rufiji mkoani Pwani wamekumbwa na taharuki baada ya kutokea kwa mauaji ya watu wawili mkulima na mfugaji wilayani humo na maiti zao kukutwa zimetupwa porini. Read more about Wawili wauawa mgogoro wa wakulima na wafugaji