Wamevujisha wimbo kuniharibia - Q Chief Q Chillah Mkali wa Rnb na Zouk Tanzania Q Chief amefunguka na kutoa malalamiko yake kwa baadhi ya watu ambao wamevujisha wimbo wake mpya kwa lengo la kumuharibia soko la muziki wake kuuza katika njia za mitandao. Read more about Wamevujisha wimbo kuniharibia - Q Chief