Mratibu wa TASAF Kinondoni atumbuliwa
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi amemuagiza Mkurugenzi wa manispaa hiyo kumvua madaraka Mratibu wa Mfuko wa TASAF wa manispaa hiyo ndugu Onesmo Oyango kwa kosa la kuiingizia serikali hasara ya zaidi ya shilingi milioni mia moja.