Kifo cha Hafidh, pigo kwa wanamichezo bungeni Marehemu Hafidh Ali Tahir Kifo cha mwanamichezo, Hafidh Ali Tahir, kimeacha majonzi makubwa huku wabunge ambao ni wanasoka wakimlilia na kusema mchango wake katika sekta ya michezo bungeni hautasahaulika. Read more about Kifo cha Hafidh, pigo kwa wanamichezo bungeni