Washiriki wote Tuzo za EATV wajulikana leo

Wawakilishi kutoka EATV, Baclays, BASATA, Vodacom na Innovate katika mkutano na wanahabari.

Kituo cha East Africa Television leo kimekamilisha zoezi la kutaja wasanii wote wanaoshiriki katika Tuzo za Muziki an Filamu za EATV Awards kwa kutaja 'nominees' wa vipengele vitatu vilivyokuwa vimebakia

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS