TTCL kutoa intaneti bure maeneo yote ya wazi

Kampuni ya simu ya TTCL nchini inakamilisha taratibu kwa ajili ya kutoa bure huduma za mawasiliano ya intaneti katika maeneo yote ya wazi na yenye mikusanyiko ya watu wengi jijini Dar es Salaam kabla huduma hiyo haijasambazwa maeneo mengine nchini

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS