Mvua yawakosesha makazi zaid ya watu 250 Geita

Maeneo yaliyoathiriwa na mvua Geita

Zaidi ya wakazi 250 katika kijiji cha Namonge A katika Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, hawana sehemu ya kuishi baada ya nyumba zao kuharibiwa na kuezuliwa mapaa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS