Awamu ya 5 imesahau kumkomboa mwanamke - Mghwira
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT – Wazalendo Anna Mghwira amedai kuwa harakati za kudai haki za wanawake na usawa wa kijinsia zimerudi nyuma kwa kias kikubwa katika kipindi hiki cha uongozi wa wamu ya tano.