Wachina njooni mjenge viwanda vyenu Tanzania - TIC
Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimewaomba wawekezaji kutoka nchini China kuja kuwekeza viwanda vyao hapa nchini hususani vile vinavyotumia teknolojia rahisi na vinavyoajiri idadi kubwa ya watu katika uzalishaji.