Wadaiwa sugu Bodi ya Mikopo wapewa siku 30

Abdul-Razaq Badru - Mkurugenzi Mtendaji HESLB

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetoa siku 30 kuanzia leo Novemba 14, 2016 kwa wanufaika wa mikopo hiyo ambao imewaita "Wadaiwa Sugu" kulipa madeni yao, vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS