Serikali yajadili uwezekano wa kupunguza VAT

Bw. Clifford Tandari

Serikali inaendelea na mazungumzo kuona ni kwa kiasi gani inaweza kupunguza kiwango cha kodi ya ongezeko la thamani kutoka kiwango cha sasa cha asilimia 18 ili kiendane na kile kinachotozwa na nchi za jirani kama Kenya na Ethiopia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS