Zimebaki saa chache historia mpya kuandikwa
Mashabiki wa sanaa nchini na Afrika Mashariki leo Jumamosi ya Desemba 10 watapata kujua wasanii wa muziki na filamu watakaoibuka washindi wa tuzo kubwa kuwahi kufanyika nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla za EATV Awards 2016.

