Jahazi limevunjwa na Mungu - Khadija Yusuph Khadija Yusuph Msanii wa taarabu nchini Khadija Yusuph amesema hakuna tena kundi la Jahazi Morden Taarabu kwa sasa na tayari wamegawana vitu vilivyokuwa ndani ya kundi hilo na yeye kwa sasa yupo kwa Thabit Abdul. Read more about Jahazi limevunjwa na Mungu - Khadija Yusuph